Newsletter

Tanzania Modest Women Expo: STARA
We created STARA As a platform where top designers, boutiques and online sellers of abayas, jilbabs, jubbas, hijabs, bonnets, occasional modest wears and Islamic accessories can come together and inspire a Modest way of living. 
This number one shopping festival experience for Islamic Clothing will bring together Man and woman in a stunning location where people would be able to buy and sell their ladies abayas, hijabs,  etc.
This event which has been designed to honor working women who embraced hijabs will showcase designs that are comfort to wear,  good quality tailored, and above all modesty. Most of these designs have been made with love and care,  by our local designers, some have been  imported. We hope you will enjoy the next Stara event to the fullest looking  forward to seeing you there. 

Our Vision:
Our primary vision is to create a Tanzania where Modest Women feels proud of their hijabs. Stara will bring together best fashion designer of Modest outfits, because we have the urge and strive to deliver an unrivaled customer experience where quality and style will not be compromised.

_____
  
The 2nd Tanzania Modest Women Expo: STARA will be held in Dar es salaam, hosted by City Garden Restaurant in collaboration with Hijab Couture

PARTNER WITH US
We prefer Partnership rather than sponsorship. We want to give you room to engage and be part of the whole process.

To Participate as a Partner Contact Us: 0784757597 or email: 
staratanzania@gmail.com


WHY PARTICIPATE AS AN EXHIBITOR?
·        Increase your profit by taking advantage on 'one on one' of the most lucrative emerging markets in the region.
·        Network with modest society in Tanzania
·        A highly target audience in industry professionals
·        New business opportunities by providing direct negotiation with exhibitor’s senior decision makers
·        Feel the warmth of personal contact in face to face meetings
·        Your company will experience media exposure from the event
·        Exhibitors could use this platform to launch new product of hence reaching target audience instantly.
·        Learn and earn brand loyalty by doing business in and within the event.

To Participate as Exhibitor Contact Us: 0784757597 or email: staratanzania@gmail.com
.............................................................................................................

THE LAUNCH OF STARA MAGAZINE 

We take this prospect to present our full color glossy magazine Stara coming out soon. 5000 copies published and distributed across Tanzania. Stara Magazine provides useful information articles and updates in English/Swahili.
Our frequently revised, growing circulation network will cover more than 300 distribution points in Dar es salaam including main shopping malls, supermarkets, traveling agents, airports, apartments, offices etc. further on we shall be able to hand over them physically at given locations.

STARA MAGAZINE
Publication:  5000 copies a year
Circulation : Dar es salaam.
Placement:   shopping malls, supermarkets, traveling agents, airports, apartments, offices etc          
No of copies to advertisers: 20

Advertages of advertising with STARA MAGAZINE

  •   Specific Target Market: Target readership of 80% - 90% woman
  •   Definite expose to over 750,000 people all across Tanzania 
  •   Advertisement exposure to A+, A and B+ class category Nationwide.
  •     High class Circulation points
  •   Advertisement exposure to Over 25,000 people on daily basis throughout the whole year
  •   Target Market who a straight Buyers
  •     Platform to increase Top of mind product Awareness, Encourage trial or usage of the product and connect with consumers and win brand loyalty. 

WORD FROM OUR MAIN SPONSOR  
STARA FASHION WEEK 2015
Mama Magreth Chacha:  Managing Director - Tanzania Women Bank 
"i am so proud to be part of this event.. i think it's positive move and we should embrace it"

NOTE FROM THE FOUNDER
STARA: TANZANIA MODEST WOMENT EXPO 2015 
Tamasha hili linalenga kumrudishia thamani mwanamke kupitia maonyesho ya mavazi na kumpatia mada mbalimbali zitakazomuwezesha kujikwamua kiuchumi. 
Tanzania modest women expo. Kwangu mimi hii ilikuwa ni ndoto ya muda mrefu. Ninayo furaha kubwa mno kuona ndoto hii ikitimia.
Kama Mwanamke ninayejistiri, nimekumbana na vitu vingi kiasi cha kuwaza kumtambua na kumpa thamani mwanamke wa design yangu, kwa kumuunga mkono, na kumuwezesha. 
Tamasha hili dada zangu, mama zangu, wadogo zangu  .. aims to empower and celebrate Modest Women in Tanzania.”
Kupitia tamasha hili, tuliwapa nafasi ya kibiashara wajasiriamali wanawake zaidi ya 15 ambao wameshiriki katika Exhibition ya vitu mbalimbali katika ukumbi wa City Garden. Nadiriki kusema nimefarijika sana kuona kazi za mikono za wanawake hawa, na uchakarikaji wa wanawake hawa katika kujiendeshea na kuendesha Maisha yao katika Stara kwa njia sahihi.
Naomba kuwapongeza sana pia Wabunifu wa Mavazi ya Heshima ya Wanawake kwa kazi nzuri waliyoifanya, ikiwa pia ni pamoja na kuona bidhaa mbalimbali za mwanamke mjasiriamali katika runway.
Lengo ni lile lile la kumpa thamani Mwanamke kupitia Maonyesho yanayomuhusu yeye.
Mbali na Mavazi, pia tuna wahadhiri kutoka katika Nyanja mbalimbali zikiwemo mbinu za ujasiramali, utunzaji wa fedha pamoja na masuala ya Ndoa.
Tunaamini kupitia Tamasha hili Manamke ataweza kujitambua na kujithamini.
Challenge za Stara ni nyingi. Tuko hapa kuirudisha thamani yako Mwanamke na kukupa moyo kuwa hauko peke yako.
Kupitia STARA Wanawake wajasirilamali, Wabunifu, na Wengine katika Nyanja tofauti tofauti, tutaweza, kukutana, kufahamiana kuunganishana na kujadili Mambo muhimu yaliyowazunguka katika jamii.
Pamoja na Maoyesho ya Mavazi Heshima, na  Exhibition, tumeandaa Mada hizi
1.     Nafasi ya Mwanamke katika Ndoa
2.     Financial management, Utunzaji wa Fedha,.
3.     Tutaongelea kuhusu Enterpernuership Ujasiriamali
4.     Na  pia tutagusa Fiqhi ya Mambo yanayotuhusu kipindi cha Ramadhani.
Nia yetu ni kulifanya Tamasha hili kila Mwaka Inshallah. Na tutafika maeneo mengine ya Tanzania.
Tunachukua nafasi hii kuwashukuru sana sana wadhamini wa Tamasha hili ambao ni pamoja na Jast Tanzania Limited, I-view Studio, Vayle Springs, AA Shekhozah co. Ltd, City Garden, Event Lights, Sofia Production, Tanzania Women Bank, Clouds FM, Rehema Samo, Mani24  na wengineo.
When a Women support eachother incredible Things Happen…
Asanteni sana

CHIEF GUEST SPEECH
STARA FASHION WEEK 2015
Labda nianze kwa kuelezea furaha yangu kwa nafasi mliyonipa katika Tamasha hili la kwanza la stara.Tanzania modest women expo.
Stara inafungua Nyanja mbalimbali za ujasiramali, utunzaji wa fedha pamoja na masuala ya Ndoa.
Pengine hiki kitu kilikuwa kwenye akili ya wengi, lakini ninyi.. Mka kaa na kulifanyia kazi. Niwepongeze sana kwa kutambua kuwa Modest Women wanahitaji kuwa covered katika Masuala mbalimbali yanayoizunguka jamii.
Mimi Pia Kama Mwanamke Ninayejistiri, nimekumbana na vitu vingi kiasi cha kuwaza kumtambua na kuungana  na mwanamke mwengine kama mimi ni share experience zangu na nijifunze kutoka kwa wenzangu. 
Kwa machache tu naomba kusisitiza kauli mbiu yenu.. Lets empower and celebrate Modest Women in Tanzania.



2015 EVENT MC: BABIE KABAE 
STARA FASHION WEEK 2015

No comments:

Post a Comment

.

.